watumishi wa Mungu,nawasalimu katika jina la bwana wetu YESU kristo! naaam kama ilivyo utaratibu wetu kila juma 2 ya tatu wanachuo tunahudumu ibada nzima pale church, wk hii inatuhusu yatupapasa kujiandaa iffectivelly for this service.there fore yatupasa kujiandaa vzr ili kukamilisha hii huduma,praise team mnatakiwa kimazoez kuanzia ijumaa had jumamosi,,,mbarikiwe n nice preparation
No comments:
Post a Comment